Author: Jamhuri
Gwiji wa zamani wa ngumi George Foreman afariki dunia
Bondia maarufu wa zamani wa ngumi za uzito wa juu George Foreman amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 76, kwa mujibu wa taarifa ya familia yake. Familia yake iliandika kwenye Instagram Ijumaa usiku: “Mioyo yetu imevunjika.”Mhubiri mwenye imani kubwa,…
Israel yaishambulia vikali Lebanon
Israel inasema inawashambulia kwa kuwalenga Hezbollah kusini mwa Lebanon baada ya roketi kurushwa kutoka huko kuelekea Israel kwa mara ya kwanza tangu makubaliano ya kusitisha mapigano kuanza kutekelezwa mnamo Novemba. Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, alisema alikuwa ameagiza Jeshi…
Mkuchika atangaza rasmi kutogombea ubunge
Mbunge wa Jimbo la Newala Mjini mkoani Mtwara ambaye pia ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Ikulu (Kazi Maalum) Kapteni Mstaafu George Mkuchika ametangaza rasmi kutogombea tena nafasi ya ubunge katika uchuguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 2025. Akizungumza wakati…
Kuondolewa kwa hitajio la VISA kwa Watanzania wanaoingia DRC
Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki inapenda kufahamisha Umma kwamba, Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) imeondoa hitajio la Visa kwa raia wa Tanzania wanaoingia DRC kuanzia tarehe 20, Machi, 2025. Baada ya Jamhuri…
Wakazi wa Dar waombwa kujitokeza kwa wingi zoezi la uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Mpiga kura
Na Mary Margwe, Dar es Salaam Kaimu Katibu wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam Jacob Siay amewataka wanachama na wananchi wote Jijini hapa kuhakikisha wanajitokeza kwa wingi katika zoezi la uboreshaji wa Daftari la kudumu la mpiga kura ili…