JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Miradi ya REA yaiwezesha Tanzania kung’ara kimataifa

Imeelezwa kuwa, utekelezaji wa miradi ya kusambaza nishati safi ya kupikia vijijini umeiwezesha Tanzania kung’ara katika Mkutano wa 69 wa Kamisheni ya Hali ya Wanawake Duniani (CSW 69) unaofanyika jijini New York, nchini Marekani kuanzia tarehe 11 hadi 22 Machi,…

Rais Samia achangia milioni 50 kumuenzi padri Shirima

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametoa shilingi milioni 50 kwa ajili ya maendeleo ya Shule ya Sekondari ya Seminari Uru, mkoani Kilimanjaro. Mchango huo…

Wawili mbaroni kwa tuhuma za kumbaka mtoto wa miaka 10

Jeshi la Polisi mkoani Mwanza linawashikilia watu wawili kwa tuhuma za kumbaka mtoto wa miaka 10 kwa nyakati tofauti. Watuhumiwa hao ni Daudi Ochieng (37), ambaye ni mwalimu wa Shule ya Msingi na Adon Sospiter (53), wote wakazi wa Ibisabageni…

Waziri Mkuu Mstaafu Pinda awataka vijana kutumia fursa ya mageuzi ya elimu nchini

Na Magrethy Katengu, JamhuriMedia, Dar es salaam WAZIRI MKUU Mstaafu Kayanza Mizengo Pinda amewataka Vijana kutumia fursa ya Mageuzi ya Elimu Nchini kwa kujiunga vyuo stahiki vya Veta vinavyotoa Elimu ya ujuzi na Ufundi stadi ili kuwasaidia kuendesha Maisha yao…

Ulega awasimamisha kazi wasimamizi wa mizani barabara kuu TI Dar – Zambia

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMediaDar es Salaam Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega amemuelekeza Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Mhandisi Balozi Aisha Amour, kuwasimamisha kazi wasimamizi wote wa Mizani waliokuwa zamu katika Mizani zilizopo katika barabara kuu ya T1 inayoanzia Dar es…