Author: Jamhuri
Wazazi acheni kuwaita watoto majina mabaya
Na Salma Lusangi WMJJWW Wazazi na Walezi wameshauriwa kuacha tabia ya kuwaita watoto majina mabaya au kumtusi matusi yasiyostahili pale ambapo mtoto amekosea kwani tabia hiyo inamuathiri kihisia na kupelekea athari katika mambo mengi ikiwemo ufahamu mdogo katika masomo yake….
WorldVeg kuimarisha utafiti na mafunzo ya mbegu bora kwa kilimo endelevu kusini mwa Afrika
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Arusha Taasisi ya Kimataifa ya Utafiti na Uendelezaji wa Kilimo cha Mbogamboga Kanda ya Mashariki na Kusini mwa Afrika (WorldVeg) iliyopo Tengeru mkoani Arusha, imesema itahakikisha kilimo kinakuwa na tija kubwa zaidi kwa wakulima wa Tanzania…
Serikali yaipongeza NMB kuchangia Mil. 30/- Taifa Stars CHAN 2024
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam SERIKALI imeishukuru na kuipongeza Benki ya NMB, kwa mchango wa Sh. Mil. 30 iliyoutoa kuhamasisha mashabiki na wachezaji wa Taifa Stars kuelekea mechi ya robo fainali ya Michuano ya Mataifa ya Afrika kwa…
ZEC : Kura ya mapema ipo kama kawaida
Na Haji Mtumwa, JamhuriMedia, Zanzibar TUME ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) imetangaza rasmi kuwa Uchaguzi Mkuu wa Zanzibar utafanyika Jumatano, Oktoba 29, 2025, huku ikisisitizaa kura ya mapemaa ipo kama kawaida. Tangazo hilo limetolewa na Mwenyekiti wa Tume hiyo, Jaji…
Kanisa la miaka 113 kuhamishwa hadi katikati ya jiji la Uswidi
Kanisa la kihistoria ambalo limekuwepo kwa miaka 113 lililo hatarini kuzama kutokana na mtikiso wa chini ya ardhi linakaribia kuhamishwa lote jinsi lilivyo- kwa mwendo wa kilomita 5 (maili 3) kando ya barabara kaskazini mwa Uswidi. Kanisa hilo lenye muundo…
Mkutano wa amani kati ya Putin na Zelenskyy wanukia
Rais wa Urusi na Ukraine wanatazamiwa mnamo siku chache zinazokuja kufanya mazungumzo ya amani ambayo yatakuwa ya kwanza tangu Moscow ilipoivamia Ukraine zaidi ya miaka mitatu iliyopita. Matumaini ya mkutano huo kati ya Rais Vladimir Putin wa Urusi na Volodymyr…