JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Viongozi wa EU kukutana kwa dharura kuhusu Greenland

Viongozi wa Umoja wa Ulaya wanatarajiwa kukutana leo mjini Brussels katika juhudi za kutafuta majibu ya pamoja dhidi ya azma ya Rais wa Marekani Donald Trump ya kukitwaa kisiwa cha Greenland. Rais Trump alikuwa ametangaza kuziwekea ushuru wa asilimia 10…

Tume yakutana na viongozi wa vyama vya siasa

Tume ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani yaliyojitokeza wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, leo Januari 22, 2026, imekutana na viongozi wa vyama mbalimbali vya siasa nchini. Mkutano huo wa Tume na viongozi wa vyama…

Tanzania na Gatsby zajadili kuimarisha mabadiliko ya kiuchumi

Na Farida Ramadhani na Joseph Mahumi, WF, Dodoma Serikali na GATSBY Africa wamejadiliana vipaumbele vya Tanzania katika mabadiliko ya kiuchumi hasa katika kuimarisha ushindani wa uzalishaji wa viwanda ili kufikia malengo ya Dira ya Taifa 2050. Hayo yameelezwa jijini Dodoma…

Kapinga atoa onyo kwa wanunuzi wanaochelewesha malipo ya kahawa Mbinga

Waziri wa Viwanda na Biashara, Judith Kapinga, amemtaka Afisa Ushirika wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga, mkoani Ruvuma, kuhakikisha anasimamia kwa karibu malipo ya wakulima wa kahawa ili kuwalinda dhidi ya ucheleweshaji wa fedha zao unaofanywa na baadhi ya kampuni…