Author: Jamhuri
Mkurugenzi Halmashauri Muheza atoa wito kwa wananchi Kwabada kulipia hati za ardhi
Na Ashrack Miraji, JamhuriMedia, Muhez Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mheza, mkoani Tanga Dkt Jumaah Mhina, ametoa wito kwa wananchi wa Kata ya Kwabada walioendeleza mashamba Katika shamba la Lewa na Saguras ambao bado hawajalipia hati zao za ardhi…
Rais Samia ashiriki mkutano wa pamoja SADC na EAC uliofanyika kwa njia ya mtandao
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki Mkutano wa Pamoja wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) na Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) uliofanyika kwa njia ya…
Samia atamaliza changamoto za kodi – Majaliwa
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amesema Rais Samia Suluhu Hassan amedhamiria kumaliza changamoto zinazohusu masuala ya kodi. Majaliwa amehimiza jumuiya za wafanyabiashara ziendelee kuwa na imani na Rais Samia. Alisema hayo alipokuwa akijibu hoja zilizotolewa na mwakilishi wa wafanyabiashara wa Halmashauri…
Mufti: Tuepuke fitna, uzushi Uchaguzi Mkuu
Shehe Mkuu wa Tanzania, Mufti Abbubakar Zubery amehimiza wananchi wajiepushe na uzushi kuelekea Uchaguzi Mkuu utakaofanyika mwaka huu. Amewataka kutumia hekima na busara wanapopokea taarifa yoyote ili kuepuka kupotosha jamii. Mufti alisema hayo wakati akipokea futari iliyotolewa na Ofisi ya…
CHADEMA wanyimwa mkutano Kyela kisa vurugu
Na Ruja Masewa, JamhuriMedia, Kyela Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wilayani Kyela, kimenyimwa mkutano wa No Reform, No election kisa kikiwa ni vurugu za viongozi miongoni mwao . Hatua hiyo imekuja ikiwa ni siku chache baada ya Mwenyekiti wa…