JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Ghana, Tanzania zaendelea kuimarisha ushirikiano wa ‘ Local Content’ sekta ya madini

Accra, Ghana NCHI za Ghana na Tanzania zinaendelea kuimarisha ushirikiano wa kitaasisi katika utekelezaji wa sera za Ushirikishwaji wa Wazawa katika Sekta ya Madini (Local Content), kwa lengo la kuongeza ushiriki wa wananchi wa ndani katika minyororo ya thamani ya…

Mwaka 2026 tuutumie kujenga tulipoharibu

Na Deodatus Balile, JamhuriMedia, Dar es Salaam Heri ya mwaka mpya 2026. Narejea katika safu hii baada ya gazeti letu kutokuchapishwa kwa wiki tatu mfululizo kuanzia Desemba 30, 2025. Kwanza, ninawashukuru sana wasomaji wetu kwa simu, maombi na matashi mema…

Serikali kuimarisha viwanda vya dawa

Na Aziza Nangwa, JamhuriMedia, Dar es Salaam Serikali kupitia wizara ya afya imeweka mkakati wa kujenga na kuimarisha viwanda vya dawa ili kulifanya taifa kujitegemea katikauzalishaji dawa,vifaa tiba na chanjo. Waziri wa Afya, Mohamed Mchengerwa, ameyasema hayo katika mkutano wawawekezaji…

Mkurugenzi Mkuu REA awafunda wahandisi wa mikoa

📌Asisitiza kuimarisha Mawasiliano na Uhusiano 📌Awakumbusha kuzingatia Sheria, Kanuni na Miongozo 📌Awasisitiza kushirikiana kwa karibu na Jamii eneo la Mradi 📌Awasisitiza kushirikiana kwa karibu na Taasisi zingine za Serikali 📌Watakiwa kufanya kazi kwa uharaka na usahihi 📌Kumsimamia Mkandarasi kutoa kipaumbele…