JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

REA yapongezwa kwa uhamasishaji wa matumizi ya nishati bora

📌DC Chikoka asisitiza utunzaji wa miundombinu ya umeme Mkuu wa Wilaya ya Musoma, Mhe. Juma Chikoka amewapongeza Wakala wa Nishati Vijijini (REA), kwa kuendelea kuhamasisha matumizi bora ya nishati kwa Watanzania wote. Mhe. Chikoka amebainisha hayo leo Machi 27, 2025…

Wanawake Monduli waathirika wakubwa mabadiliko tabia nchi ,walia wanaume kuhama

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Monduli Wanawake wa Jamii ya kifugaji ya kimasai wilayani Monduli mkoa Arusha,wametajwa kuwa waathirika wakubwa ya mabadiliko ya tabia nchi, hali ambayo imefanya maisha yao kuwa duni huku wakieleza adha ya waume zao kuhama majumbani kwenda…

Kibaha yazindua kampeni ya mpango wa kutokomeza kichaa cha mbwa

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Kibaa Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha mkoani Pwani imezindua rasmi kampeni ya mpango wa kutokomeza kichaa cha mbwa ambayo imeambatana na utoaji wa chanjo ikiwa ni mikakati muhimu ya kulinda afya za binadamu na wanyama. Uzinduzi…

Marufuku wakopeshaji, kudhalilisha wakopaji

Na Boniphace Mwabukusi, Jamhuri Media, Dar es Salaam Si halali kwa kampuni ya kukopesha au benki kumkejeli au kumtangaza vibaya mteja aliyeshindwa kulipa rejesho kwa ukamilifu. Kwa mujibu wa sheria za Tanzania, mteja ana haki ya faragha na heshima yake…

Kwa nini Watanzania hawana furaha?

Orodha ya kila mwaka ya viwango vya furaha inaendelea kuongozwa na nchi za Nordic, zinazozijumuisha Denmark, Finland, Iceland, Norway na Sweden, huku Finland ikiendelea kushikilia nafasi ya kwanza miongoni mwao tangu mwaka 2018. Denmark ni ya pili, Iceland (3), Sweden…