Author: Jamhuri
Wawekezaji wa ndani wapewa elimu ya kuchangamkia fursa za uwekezaji nchini
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Dar es Salaam Serikali imesema imejipanga kutoa elimu maalumu kwa Watanzania kuhusu fursa za uwekezaji ili kuongeza idadi ya miradi inayomilikiwa na wazawa na kupunguza utegemezi kwa wawekezaji wa nje. Kauli hiyo imetolewa Leo January 16,2026 jijini Dar…
Kituo cha kupoza umeme Mtera kuboresha upatikanaji wa umeme Iringa na Dodoma
📌Sweden, Norway wapongezwa kuwezesha utekelezaji wa mradi huo 📌Kituo kimejengwa kwa gharama ya shilingi bilioni 9.2 📌Kituo kinauwezo wa kutoa jumla ya megawati 18 📌Kamati ya Bunge ya Nishati waipongeza REA kwa utekelezaji wa miradi ya nishati vijijini kikiwemo kituo…
Madiwani Kibaha, Chalinze watakiwa kusimamia rasilimali za umma kwa thamani ya fedha
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Pwani, Kaimu Katibu Tawala wa Mkoa wa Pwani, Shangwe Twamala, amewataka Madiwani wa Halmashauri za Wilaya ya Kibaha na Chalinze kuimarisha usimamizi wa rasilimali za umma, ikiwemo mapato na fedha za Serikali na kuhakikisha miradi ya…
Watalii 85 kutoka mataifa 6 watembelea magofu ya Kilwa
Na Mwandishi Wetu,JamhuruMedia, Kilwa – Lindi Tanzania imeendelea kuthibitisha kuwa ni kisiwa cha amani na kivutio kikubwa cha utalii duniani, baada ya meli ya kitalii Island Sky Nassau kutia nanga leo tarehe 15 Januari 2026 katika Hifadhi ya Urithi wa…
Kenya yawatahadharisha wananchi ushiriki wa kukumbatia mti kwa muda mrefu
Wizara ya Afya nchini Kenya imeibua wasiwasi juu ya mwelekeo unaoibuka wa watu kushiriki katika shughuli za kukumbatia miti kwa muda mrefu, huku ripoti zikionyesha kuwa baadhi ya washiriki wamepatwa na matatizo ya kiafya yaliyozidi kiasi cha kuhitaji kupelekwa hospitalini….
UN yaitaka Iran kusitisha mipango ya kuwaua waandamanaji
Umoja wa Mataifa umeitaka Iran kusitisha mpango wa kutekeleza hukumu ya kifo kwa waandamanaji waliokamatwa na ichunguze taarifa zote za vifo kwa uhuru na uwazi. Wito huo umetolewa jana na Martha Pobee, katibu mkuu msaidizi wa Umoja wa Mataifa anayehusika…





