JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Dk Jingu aitaka bodi ya mitihani vyuo vya Maendeleo ya Jamii kuzingatia weledi

Na WMJJWM – Dodoma Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. John Jingu ameitaka Bodi ya Mitihani ya Vyuo vya Maendeleo na Maendeleo ya Jamii ufundi kuhakikisha weledi unazingatiwa katika mitihani ya wanafunzi…

Majaliwa : Tuhakikishe vijana wanapata mafunzo ya ufundi stadi

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa, ametoa wito kwa wazazi na walezi kote nchini kuhakikisha wanawapeleka vijana wao kupata mafunzo ya ufundi stadi yanayoratibiwa na Chuo cha Ufundi Stadi (VETA) pamoja na Ofisi ya Waziri Mkuu ili kuwawezesha kupata ujuzi utakaowasaidia kujiajiri…

Serikali ya Zanzibar yaidhinisha huduma za safari za mtandao

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam KATIK hatua ya kihistoria ya kisera, Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imeidhinisha rasmi uzinduzi wa huduma za usafiri wa mtandaoni visiwani humo, hatua iliyowezesha kampuni ya Bolt kuanza rasmi shughuli zake wiki…

Mwambene, Maro wakabidhiwa vitambulisho vya uandoshi wa habari

Na Mwandishi Wetu – Dar es Salaam Aliyewahi kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO), Assah Mwambene, pamoja na mpiga picha wa zamani wa Rais, Ikulu, Fredrick Maro, wamekabidhiwa rasmi vitambulisho vyao vya Uandishi wa Habari (Presscard) leo tarehe 07…

Rais Samia, Mwinyi wamlilia Ndugai

Rais  wa Tanzania,  Dk Samia Suluhu Hassan, na Rais wa Zanzibar ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, wametuma salamu za rambirambi kufuatia kifo cha Spika Mstaafu wa Bunge la  Tanzania, Job Ndugai kilichotokea leo…

Uingereza yaweka sheria kudhibiti upasuaji wa kubadili maumbile

Serikali ya Uingereza imetangaza mipango ya kukabiliana na biashara ya upasuaji kwa ajili ya kuboresha muenekano ikiwemo kuongeza makalio, kuongeza ukubwa wa viungo kama midomo na kuondoa makunyazi usoni. Hatua hizo zinadhamiria kuwalinda watu walioko chini ya umri wa miaka…