JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Samia aacha kicheko Kilimanjaro, asisitiza amani

Na Kulwa Karedia, Jamhuri Media, Moshi Mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan amesema kama atapewa ridhaa ya kuongoza nchi atahakikisha anajenga Kampasi ya Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) wilayani Hai mkoani Kilimanjaro. Akihutubia mamia maelfu…

CCM yabadilisha maisha Namonge

Mgombea Ubunge wa Jimbo la Bukombe kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Ndugu Doto Mashaka Biteko amesema kuwa Serikali ya CCM inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imebadilisha maisha ya watu wa Kata ya Namonge  kwa kuleta miradi…

Dk Samia aahidi kujenga barabara za lami na zege Kilimanjaro

Mgombea wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameahidi kuufungua Mkoa wa Kilimanjaro kwa kujenga barabara za viwango vya lami, zege na changarawe ili kukuza uchumi…

Jamii yatakiwa kupaza sauti kukomesha ukatili wa kijinsia

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam JAMII imetakiwa kuendelea kupaza sauti kwa pamoja ili kutokomeza ukatili wa kijinsia unaoendelea kushamiri katika maeneo mbalimbali nchini, hususan miongoni mwa watoto, wanawake na makundi mengine yaliyo katika mazingira magumu. Wito huo umetolewa…

Kishindo cha mgombea urais Dk Samia chapokelewa Arusha

Upepo wa kasi umepita, vibes kama loote linasikika, nyomi la watu limefurika yoote ni katika mapokezi makubwa ya Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt. ๐—ฆ๐—ฎ๐—บ๐—ถ๐—ฎ ๐—ฆ๐˜‚๐—น๐˜‚๐—ต๐˜‚…