Author: Jamhuri
Rais Samia : Tanzania kuwa miongoni mwa nchi 10 zinazozalisha Urani kwa wingi duniani
* Azindua Kiwanda cha Majaribio cha Uchenjuaji Urani Namtumbo- Ruvuma *Mradi kuzalisha tani laki 3 za Urani kwa mwaka *Serikali inamiliki hisa asilimia 20 ya mradi Namtumbo – Ruvuma Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu…
Wakili Mpanju aupongeza Mfuko wa ABBOT Fund
Na WMJJWM- Dodoma NAIBU Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Wakili Amon Mpanju amepongeza uongozi wa Mfuko wa Abbot Fund kwa kuendelea kushirikiana na Serikali katika kuboresha maisha ya watoto wenye mahitaji maalum….
Mataifa ya kigeni yamiminika kujifunza TADB ilivyofanikiwa kufikia maelfu ya wakulima
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam BENKI ya Maendeleo ya Kilimo (TADB), imefanikiwa kutoa mikopo ya shilingi trilioni 1.129 kwa wakulima, wafugaji na wavuvi kwa miaka kumi tangu kuanzishwa kwake ambapo wanufaika wamefikia 1,953,162. Hayo yalisemwa jana jijini Dar…
Chalamila awaalika wakazi Dar kujitokeza uzinduzi wa Kituo cha biashara
Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amewaalika Watanzania na wakazi wa jiji hilo kujitokeza kwa wingi kushiriki kwenye hafla ya uzinduzi wa Kituo Kikubwa cha Biashara na Usafirishaji (EACLC), itakayofanyika…
Sinzo Mgeja ashukuru kuaminiwa na CCM
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Kisarawe SINZO Khamis Mgeja, mtoto wa Mwanasiasa maarufu nchini, Khamis Mgeja ni mmoja wa makada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), walioteuliwa na Kamati Kuu (CC), kuwania Ubunge wa Viti Maalum kupitia (Umoja wa Wanawake (UWT), kundi…
Tanzania inaendelea kupiga hatua muhimu katika kujenga uchumi wake – Rais Dk Samia
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania inaendelea kupiga hatua muhimu katika safari yake ya kujenga uchumi wa kisasa unaotegemea maarifa, teknolojia na rasilimali za ndani. Taarifa iliyotolewa na Naibu Mkurugenzi wa Mawasiliano…





