Author: Jamhuri
Mpe kura yako Dk Samia ili tuendelee kunufaika na huduma bora za afya nchini
Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. ๐ฆ๐ฎ๐บ๐ถ๐ฎ ๐ฆ๐๐น๐๐ต๐ ๐๐ฎ๐๐๐ฎ๐ป iwapo atapewa kura za kutosha na kupata ridhaa ya kuongoza tena kwa miaka mitano ijayo atadumisha na kuongeza juhudi za…
Ummy amshukuru Samia kujali wenye ulemavu
Na Mwandishi Wetu-Jamhuri Media, Moshi Mbunge mteule wa viti maalum watu wenye ulemavu na Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu). Ummy Nderiananga amesema Rais Samia Suluhu Hassan amewatendea haki watu wenye ulemavu na kuwaomba Watanzania wamchague….
Dk Migiro amkaribidha Dk Samia kuzungumzanna wananchi Moshi
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt. Asharose Migiro akimkaribisha Mgombea Urais wa Tanzania kupitia CCM, Rais Dkt. ๐ฆ๐ฎ๐บ๐ถ๐ฎ ๐ฆ๐๐น๐๐ต๐ ๐๐ฎ๐๐๐ฎ๐ป kuzungumza na maelfu ya wananchi wa Moshi mkoani Kilimanjaro leo tarehe 1 Oktoba 2025.
Aliyekuwa Rais wa DRC Kabila ahukumiwa kifo kwa kosa la usaliti
Mahakama ya kijeshi katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) imemhukumu kifo aliyekuwa rais wa nchi hiyo, Joseph Kabila, bila mwenye kuwepo, baada ya kumtia hatiani kwa makosa kadhaa mazito yakiwemo usaliti na uhalifu dhidi ya binadamu. Hukumu hiyo imetolewa…
Mkenda asema Rais Samia amepeleka bil. 8.9/- za maji Rombo
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia, Moshi Mgombea ubunge Jimbo la Rombo, Profesa Adorf Mkenda amesema Rais Samia Suluhu Hassan ametoa Sh bilioni 8.9 kwa ajili ya mradi mkubwa wa maji kutoka Ziwa Chala. Ametoa kauli hiyo alipopewa nafasi ya kusalimia maelfu ya…