JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Waziri wa Cuba ajiuzulu baada ya kusema nchi haina ombaomba

Waziri wa Kazi wa Cuba Marta Elena Feitó Cabrera amelazimika kujiuzulu baada ya kutoa maoni ya kukanusha kuwepo kwa ombaomba katika kisiwa hicho kinachoongozwa na Wakomunisti. Waziri alikuwa amesema hakuna kitu kama “ombaomba” nchini Cuba na watu wanaopitia takataka walikuwa,…

China yaiunga mkono Iran dhidi ya uonevu

China itaendelea kuiunga mkono Iran katika kulinda mamlaka yake ya kitaifa na heshima, pamoja na kupinga siasa za ukuu na uonevu. Haya yamesemwa leo na waziri wa mambo ya nje wa China kwa mwenzake wa Iran. Katika taarifa iliyotolewa na…

EU yatangaza vikwazo vipya dhidi ya Urusi

UMOJA wa Ulaya (EU) unatarajiwa kuidhinisha awamu mpya ya vikwazo dhidi ya Urusi ikiwa ni hatua nyingine ya kushinikiza Kremlin kusitisha uvamizi wake dhidi ya Ukraine. Hatua hiyo imecheleweshwa kwa zaidi ya mwezi mmoja kutokana na upinzani kutoka Slovakia, ambayo…

Dk Mwinyi amkabidhi tuzo ya heshima ya uchaguzi Kamishna THBUB

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi, akimkabidhi tunzo ya heshima Kamishna wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB), ofisi ya Zanzibar, Mhe. Khatibu Mwinyichande aliyotunukiwa na Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC)…

Wahamiaji haramu 126 kutoka Burundi wakamatwa Geita

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Geita IDARA ya Uhamiaji Mkoa wa Geita imewakamata wahamiaji haramu 126, ambao ni raia wa Burundi walioingia nchini, kufanya kazi na kuishi kwenye maeneo tofauti kinyume cha sheria. Mkuu wa Idara ya Uhamiaji Mkoa wa Geita,…

Dk Yonazi aipongeza Serikali mageuzi sekta ya kilimo

Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, imepongezwa kwa kuendelea kufanya mageuzi makubwa katika Sekta ya Kilimo kwa lengo la kuongeza uzalishaji, tija na faida kwa wakulima na wananchi kwa ujumla. Pongezi hizo zimetolewa…