JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Hati miliki za ardhi 1, 176 zatolewa maonesho sabasaba 

Na Mwandishi Wetu Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi imetoa jumla ya Hati Milki za Ardhi 1,176 wakati wa Maonesho ya Kimataifa maarufu kama Sabasaba yaliyomalizika mwishoni mwa wiki. Katika maonesho hayo yaliyobeba kaulimbiu ya “Fahari ya Tanzania”…

Serikali Mkoa wa Mwanza yadhibiti uchimbaji holela wa madini Kasandi na Ishokela hela

Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma Serikali ya Mkoa wa Mwanza imeanza kuchukua hatua madhubuti kudhibiti ongezeko la shughuli za uchimbaji wa madini kiholela katika maeneo ya Kasandi na Ishokela Hela, yaliyopo Wilaya ya Misungwi, ikiwa ni sehemu ya mkakati wa…

Kigoma yamulikwa miradi lukuki ya Sequip

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Kigoma Serikali Kupitia Mradi wa kuboresha Ubora wa Elimu Sekondari (SEQUIP) imetoa kiasi cha zaidi ya Shilingi Bilioni 5.7 kwa ajili ya ujenzi wa miundombinu ya ujenzi wa shule mpya mbili za sekondari zitakazorahisisha upatikanaji wa…

Wawekezaji biashara ya Kaboni waanza kumiminika nchini

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mhandisi Hamad Yussuf Masauni amekutana na kufanya mazungumzo na wadau wa Biashara ya Kaboni kutoka nchini Korea ambao wameonesha nia ya…

JK: Tanzania imepiga hatua kubwa sekta ya elimu

Na Mwandishi Wetu Rais mstaafu wa Awamu ya Nne, Dk Jakaya Kikwete amesema Tanzania imepiga hatua kubwa kuhakikisha watoto wanapata elimu na kusaidia kupunguza idadi ya watoto wa mtaani. Akizungumza Julai 14, katika shule ya Kibasala jijini Dar es Salaam…

Waziri Aweso atoa onyo kali kwa wakandarasi

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Serikali ya Tanzania imesisitiza kuwa hakutakuwa na nafasi ya kuongeza muda wa utekelezaji wa Mradi wa Huduma ya Maji kwa Miji 28, huku Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa Hamidu Aweso (Mb), akitoa onyo kali kwa…