JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Papa Leo ahimiza mshikamano mpya Lebanon

KIONGOZI wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Leo XIV alihimiza mshikamano na matumaini mapya katika Lebanon inayokabiliwa na migogoro akipongeza ‘ustahimilivu’ wa nchi hiyo licha ya miaka ya migogoro na misukosuko. Katika sehemu ya pili ya ziara yake ya kwanza ya…

Dk Mwigulu akagua uharibifu wa kituo cha Polisi Kikatiti

WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Novemba 30, 2025, amekagua Kituo cha Polisi Kikatiti ambacho kiliharibiwa kutokana na vurugu zilizotokea Oktoba 29, 2025, mkoani Arusha. Akizungumza na wakazi wa eneo hilo, Mheshimiwa Dkt. Mwigulu amewataka wananchi kuwa makini dhidi ya…

Watu 607 waliokamatwa kufanya vurugu wakati wa uchaguzi mkuu waachiliwa

‎Na Mwandishi Wetu, Namtumbo WAZIRI wa Katiba na Sheria Dkt Juma Homera amesema,zaidi ya watu 607 kati ya 2,500 waliokamatwa baada ya kufanya vurugu kwenye uchaguzi mkuu wa mwezi Oktoba mwaka huu wameachiliwa huku wengine 1,736 wataachiliwa hivi karibuni. ‎Waziri…

Serikali yasisitiza kutozuia maiti hospitalini

Na WAF, Kigoma‎ ‎Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Florence Samizi, ameendelea kuzisitiza hospitali zote nchini kutozuia maiti kwa sababu yoyote, akisema kuwa hatua hiyo ni utekelezaji wa ahadi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan,…

Ndejembi awahakikishia wakazi Kigamboni umeme wa uhakika

*Afanya Ziara katika Kituo cha Dege  *Aelekeza hatua za haraka kuchukuliwa kunusuru hali ya umeme Kigamboni *Umeme wa Megawati 22 kupatikana kwa hatua za haraka  *Upanuzi wa Kituo cha Dege wafikia asilimia 60 Waziri wa Nishati Mhe. Deogratius Ndejembi amefanya…

Waziri Mavunde awaasa wamiliki wa leseni za uchimbaji madini kuzingatia sheria na kanuni za uchimbaji

● Maboresho ya Kanuni za Haki Madini za Mwaka 2025 yaongeza ufanisi kwa wenye maduara na kupunguza migogoro, ‎● Wamiliki wa Leseni za Utafiti wasioendeleza Leseni kufutiwa Leseni ‎● Vikundi vya vijana na wanawake vyaendelea kunufaika na utekelezaji wa Programu…