JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

NEMC yavunja rekodi utoaji wa elimu sabasaba

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam BARAZA la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC), limewapa tuzo washindi watatu wa mazingira challenge shindano lililoandaliwa maalum na baraza kwaajili ya kuhamasisha uhifadhi na utunzaji wa mazingira. Washindi hao walikadhiwa…

TSB yatangaza fursa mpya za uwekezaji katika kilimo na biashara ya mkonge

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam BODI ya Mkonge Tanzania (TSB) imewahimiza Watanzania kuchangamkia kilimo na biashara ya mkonge, ikitaja zao hilo kama chanzo muhimu cha ajira, kipato na fursa za uwekezaji kwa ajili ya soko la ndani na…

Historia ya maandamano ya Saba Saba Kenya

Kila mwaka ifikiapo Julai 7, Kenya huadhimisha Saba Saba,kama siku iliyokita mizizi katika mapambano ya muda mrefu ya demokrasia . Kilichoanza mwaka wa 1990 kama maandamano ya kijasiri dhidi ya utawala wa chama kimoja wa rais wa awamu ya pili…

Israel yaanzisha mashambulizi maeneo ya Wahouthi huko Yemen

Israel inasema imeanzisha mashambulizi kwenye bandari tatu na kiwanda cha nguvu za umeme katika maeneo yanayodhibitiwa na Wahouthi ya Yemen. Waziri wa Ulinzi wa Israel Israel Katz alithibitisha wanacholenga ikiwa ni pamoja na meli ya kibiashara ya Galaxy. Meli hiyo,…

Israel yafanya mashambulizi ya anga katika bandari Yemen

Israel imesema kwamba imefanya mashambulizi ya anga kwenye mji wa bandari wa Hodeida wa Yemen na maeneo mengine yanayoshikiliwa na waasi wa Huthi. Israel imesema kwamba imefanya mashambulizi ya anga kwenye mji wa bandari wa Hodeida wa Yemen na maeneo…

Ado Shaibu amvaa wakili Mwambukusi

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Kisarawe Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo amesema kauli ya Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Wakili Boniphace Mwabukusi kupinga jitihada za ACT Wazalendo kuhamasisha wananchi kulinda kura ina udhaifu wa kimantiki. Ndugu Ado Shaibu ametoa…