Author: Jamhuri
TASAC yasisitiza usalama wa usafiri majini kama msingi wa kukuza uchumi
Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam SHIRIKA la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) limeeleza kuwa usalama wa usafiri wa majini ni kichocheo muhimu cha maendeleo ya kiuchumi, huku likiahidi kuendelea kutoa elimu kwa jamii kuhusu umuhimu wa kulinda na…
GCLA yatoa elimu ya usalama wa Kemikali na afya Sabasaba, yakaribisha wanafunzi kujifunza Sayansi
Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam MAMLAKA ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali (GCLA) imetoa wito kwa wananchi, wajasiriamali na wanafunzi kutembelea banda lao katika Maonesho ya 49 ya Kimataifa ya Biashara (DITF – Sabasaba) ili kujifunza kuhusu…
AZAM FC imemtambulisha Florent Ibenge kuwa Kocha Mkuu
Na Mwandishi Wetu AZAM FC imemtambulisha Florent Ibenge (63) kuwa Kocha Mkuu kwa mkataba wa miaka miwili wenye kipengele cha kuongeza kulingana na mafanikio. Ibenge, raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) alikuwa Kocha Mkuu wa Al Hilal ya…





