JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Mfanyabiashara wa madini Comred Hussein Gonga arudisha fomu ya kuwania ubunge Arusha Mjini

Happy Lazaro, Arusha . Comred Hussein Gonga leo amerudisha rasmi fomu ya kuwania Ubunge wa Jimbo la Arusha Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), akitafuta ridhaa ya wajumbe wa chama hicho kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025.

Mtia nia wa ubunge Jimbo la Arumeru Magharibi Elius Lukumay arejesha fomu

Na Happy Lazaro, JamhuriMedia, Arusha MTIA nia wa ubunge Jimbo la Arumeru Magharibi Elius Lukumay hatimaye amerejesha fomu ya ubunge katika ofisi za chama cha Mapinduzi CCM Wilaya ya Arumeru baada ya kukamilisha kujaza . Lukumay pia ni Mwenyekiti wa…

MCT yatoa mwongozo mpya kwa vyombo vya habari kuelekea Uchaguzi Mkuu

Na Zulfa Mfinanga JamhuriMedia, Arusha Katika kuelekea kipindi nyeti cha uchaguzi Mkuu nchini, Baraza la Habari Tanzania (MCT) limetoa mwongozo muhimu kwa wanahabari, vyombo vya habari, taasisi za kiraia, vyuo vya uandishi wa habari, na makundi mengine likisisitiza utii wa…

Dotto Bahemu amechukua fomu ya kugombea ubunge Ngara

KutokaNgara Mkuu wa vipindi Clouds TV ambaye pia ni Muasisi na Mratibu wa programu ya #Kurasa365ZaMama @dottobahemu_ leo amewasili katika ofisi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya Ngara na kuchukua fomu kwa ajili ya kuomba ridhaa ya kuteuliwa na Chama…

Majaliwa : Nimelitumikia Jimbo la Ruangwa miaka 15 inatosha, asanteni

WAZIRI MKUU, na Mbunge wa Jimbo la Ruangwa Kassim Majaliwa leo Julai 2, 2025 ametangaza rasmi kutokugombea tena ubunge wa jimbo la Ruangwa baada ya kulitumikia jimbo hilo kwa miaka 15. Akizungumza na wajumbe wa kamati ya Siasa ya Mkoa…