JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Watu 34 wafariki baada ya magari mawili kugongana na kuwaka moto Same mkoani Kilimanjaro

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Same Watu zaidi ya 34 wamepoteza maisha na wengine 16 kujeruhiwa baada ya kutokea ajali ya barabarani leo asubuhi, Jumamosi Juni 28, 2025, katika eneo la Sabasaba, Kata ya Same, wilayani Same, mkoani Kilimanjaro. Ajali hiyo…

Israel Salufu awania Jimbo la Kilolo

Na Mwandishi Wetu KADA wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Israel Johaness Salufu amechukua fomu kuwania nafasi ya Ubunge kwa tiketi ya CCM katika Jimbo la Kilolo mkoani Iringa. Salufu amechukua fomu hiyo leo tarehe 28 Juni 2025 katika Ofisi za…

Aliyeongoza kura maoni Vunjo 2020, kumkabili tena Dk Kimei

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMesia, Moshi Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Enock Koola (35), ambaye aliongoza katika kura za maoni katika kinyang’anyiro cha ubunge mwaka 2020, amechukua tena fomu ya kuwania tena nafasi hiyo ya uwakilishi, akiwa miongoni mwa waliojitokeza…