Author: Jamhuri
Waziri wa Katiba na Sheria atoa msaada wa vifaa kwa Jeshi la Polisi
Na Cresensia Kapinga, Songea.Ā Jeshi la Polisi mkoani Ruvuma limetoa shukrani kwa Waziri wa Katiba na Sheria, Dk. Damas Ndumbaro, kwa kuwapatia msaada wa kompyuta sita pamoja na vifaa vingine vyenye thamani ya shilingi milioni 10. Akizungumza wakati wa kupokea…
Dk Nchimbi akutana na mwandishi mkongwe Absalom Kibanda
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt. John Emmanuel Nchimbi akizungumza jambo na Mwandishi mkongwe, Mwenyekiti Mstaafu wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF),Ndugu Absalom Kibanda akiwa ofisini kwake, Makao Makuu ya CCM jijini Dodoma, leo Ijumaa , tarehe…
Dk Mpango akifuatilia kikao cha mwisho cha Bunge
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akifuatilia Hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ya kuhitimisha shughuli za Bunge la 12 la Jamhuri ya Muungano wa…
Rais Samia ampongeza Dk Tulia kwa uongozi bora ni mfano wa kuigwa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amempongeza Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Mhe. Dkt. Tulia Ackson, kwa uongozi bora na usimamizi mahiri…
Rais Dk Samia : Hali ya uchumi wa taifa imezidi kuimarika
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema kuwa hali ya uchumi wa nchi imeendelea kuimarika, ambapo kwa mwaka 2025 kasi ya ukuaji wa uchumi inakadiriwa kufikia asilimia sita. Aidha, pato ghafi la Taifa limeongezeka…
Mahakama ya Afrika yafuta hukumu ya kunyongwa kwa Tembo Hussein, yatangaza adhabu ya kifo si ya kibinadamu
Na Zulfa Mfinanga, JamhuriMedia,Arusha. Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu, iliyoko Arusha, imetoa hukumu ya kihistoria katika kesi ya Tembo Hussein dhidi ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ikibatilisha hukumu ya kifo na kutangaza kuwa adhabu hiyo…





