Author: Jamhuri
EWURA yajidhatiti kutoa Huduma Bora kwa Umma katika Wiki ya Utumishi wa Umma
Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma Katika kuadhimisha Wiki ya Utumishi wa Umma mwaka 2025, Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imesisitiza dhamira yake ya kutoa huduma bora, zenye kuzingatia weledi, uwazi, uwajibikaji na matumizi bora ya teknolojia kwa…
Newta kuleta mageuzi sekta ya ujenzi
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Kampuni tanzu ya Huaxin Group, Maweni Limestone (MLL-Tanzania), imepiga hatua kubwa kibiashara kwa kuzindua bidhaa mpya ya saruji ijulikanayo kama ‘Newta’ inayotarajiwa kuboresha sekta ya ujenzi nchini.⁸ Haya yanajiri wakati miradi mingi ya…
Rais Samia afungua kiwanda cha kuchakata pamba Maswa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akifungua Kiwanda cha kuchakata pamba cha Shree Rajendra Agro Industries Limited kilichopo Maswa mkoani Simiyu tarehe 18 Juni, 2025.
Mapigano kati ya Israel na Iran yaingia siku ya sita
MASHAMBULIZI ya makombora kati ya Iran na Israel yameendelea leo kwa siku ya sita licha ya wito wa Rais wa Marekani Donald Trump wa kutaka Iran isalimu amri bila masharti. Mashambulizi ya makombora kati ya Iran na Israel yameendelea leo…





