Author: Jamhuri
Mguso wa Bajeti 2025 TANAPA, NCAA
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Arusha Hatimaye, baada ya miaka kadhaa ya maombi ya wadau wa uhifadhi nchini, Serikali imekisikia kilio chao na kufanya marekebisho kadhaa katika Sheria ya Fedha; yatakayoimarisha shughuli za uhifadhi wa mazingira, wanyamapori na utalii kwa ujumla….
REA kuendelea kuwezesha waendelezaji wa miradi ya nishati vijijini
📌RC Njombe apongeza usimamizi wa miradi ya REA Wakala wa Nishati Vijijini (REA) utaendelea kutoa sapoti kwa waendelezaji wa miradi ya kuzalisha na kusambaza umeme kote nchini ili kuwezesha wananchi wengi kufikiwa na huduma bora ya nishati ambayo inachangia kuinua…
Netanyahu: Tutabadili sura ya Mashariki ya Kati
WAZIRI Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amesisitiza kwamba kampeni yake dhidi ya Iran “itabadili sura ya Mashariki ya Kati”, wakati nchi hizo mbili zikiendelea kushambuliana vikali kwa siku ya tano. Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amesisitiza kwamba kampeni yake…
Bajeti ya kujitegemea ni mwelekeo sahihi Tanzania
Na Deodatus Balile, JamhuriMedia, Dodoma Wiki iliyopita serikali imeleta furaha, matumaini na heshima kwa taifa letu. Nasema furaha, heshima na matumaini kwa nchi yetu si kwa jambo jingine, bali bajeti ya mwaka 2025/2026 iliyowasilishwa bungeni na Waziri wa Fedha, Dk….
NHC yaanza kubadilisha sura ya Kariakoo, yavunja majengo yote chakavu
Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) limeanza rasmi utekelezaji wa mpango mkubwa wa kubadilisha sura ya eneo la Kariakoo jijini Dar es Salaam kwa kuvunja majengo yote chakavu na kujenga majengo ya kisasa yanayokidhi mahitaji ya sasa ya makazi, biashara…
Wasira aeleza sababu zinazoifanya CCM idumu
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira ameeleza mambo mbalimbali yanayoifanya CCM kuwa idumu. Mojawapo ya sababu hizo ni wajibu wake wa majukumu endelevu ya kuwatumikia Watanzania. Amesema kutokana na umuhimu wa majukumu hayo kwa ustawi…





