Author: Jamhuri
Tujipange, Tumalize Uchaguzi Mkuu, tuanze mchakato wa Katiba Mpya
Askofu Mkuu Nkwande: “Mahangaiko na taharuki! Watu hawajui, hivi Tanzania tuliyokuwa nayo tutaendelea kuwa nayo?” Butiku: “Tumalize Uchaguzi Mkuu, tuanze mchakato wa Katiba mpya huku tukijadili hali ilivyo nchini kwa sasa.” Na Kulwa Karedia, JamhuriMedia, Dar es Salaam Askofu Mkuu…
Kampeni ya Kisheria ya Mama Samia yanufaisha maelfu magerezani
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Morogoro Jeshi la Magereza limesema kampeni ya kitaifa ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia, imeleta manufaa makubwa kwa wafungwa na mahabusu zaidi ya 12,000 katika magereza mbalimbali nchini. Kati ya waliofikiwa na kampeni hiyo, mahabusu…
Marekani yaitaka Rwanda kuondoa majeshi yake Congo kabla ya makubaliano
Marekani inataka makubaliano kati ya Rwanda na Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo kujumuisha Rwanda kuyaondoa majeshi yake kutoka Mashariki mwa Congo kabla pande hizo mbili kutia saini makubaliano ya amani. Duru zinaarifu kuwa rasimu ya makubaliano ya amani inaanisha kuwa…
Iran yatishia kushambulia kambi za Marekani
Waziri wa Ulinzi wa Iran Aziz Nasirzadeh, amesema nchi hiyo itajibu mgogoro wowote utakaotokea iwapo majadiliano ya nyuklia kati ya Jamhuri hiyo ya kiislamu na Marekani yatafeli. Nasirzadeh amesema taifa lake litakuwa tayari kushambulia kambi za kijeshi za Marekani zilizopo…
Ruto alaani kuuwawa mwanablogu mikononi mwa polisi Kenya
Rais wa Kenya William Ruto Jumatano amelaani mauaji ya mwanablogu mmoja nchini humo yaliyotokea katika seli ya Polisi alimokuwa akishikiliwa, tukio lililozusha hasira miongoni mwa Wakenya. Awali polisi ya Kenya ilikuwa imesema kuwa Albert Ojwang, aliyekamatwa kwa chapisho aliloliweka kwenye…





