JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Gavana Tutuba: Hali ya uchumi wa Tanzania inaendelea kuimarika

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam GAVANA wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Emmanuel Tutuba amesema kuwa, hali ya uchumi wa Tanzania imeendelea kuimarika na kuwa himilivu. Gavana Tutuba ameyasema hayo Machi, 20 2025 jijini Dar es Salaam katika…

Balile achukua fomu kutetea nafasi yake TEF, aahidi kuleta mabadiliko sekta ya habari

Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri (TEF), Deodatus Balile, leo Machi 21, 2025 amechukua fomu ya kuwania uenyekiti wa jukwaa hilo na kuahidi kuleta mabadiliko katika sekta ya habari nchini. “Nilichaguliwa kipindi cha kwanza cha miaka minne na sasa nina waomba…

Ufundi stadi umepewa kipaumbele na Serikali – Dk Biteko

📌 Asisitiza kuwa, Rais Samia anajenga vyuo kila wilaya nchini 📌Apongeza utoaji wa mafunzo na ujuzi kuendana na teknolojia ya kisasa 📌Makundi maalumu kupewa kipaumbele 📌Asema VETA itakuwa msingi kwa malezi ya watoto na Vijana Na Ofisi ya Naibu Waziri…

Wizara ya Nishati yataja mafanikio utekelezaji majukumu 2024/ 2025

📌 Uzalishaji umeme waongezeka kwa asilimia 59.9 📌 Misheni 300 kuongeza upatikanaji umeme kwa asilimia 100 ifikapo 2030. 📌 Serikali yaokoa sh.i bilioni 58.4 kwa kuunganisha Kigoma na gridi ya Taifa. 📌 Upatikanaji bidhaa za mafuta umeendelea kuwa wa uhakika…

Miaka minne ya Rais Samia imeleta mapinduzi ya utalii Mpanga/ Kipengere – Semfuko

📍 Mapato na Idadi ya Watalii Vyaongezeka Na Beatus Maganja, JamhuriMedia, Mbeya Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA), Meja Jenerali (Mstaafu) Hamis R. Semfuko, amesema kuwa juhudi za Serikali ya Awamu ya Sita…

Kongo iko tayari kwa mkataba na Marekani : Tshisekedi

Rais Felix Tshisekedi amesema nchi yake iko tayari kuingia mkataba wa madini na Marekani kwa mabadilishano ya kupatiwa uwezo wa kujilinda dhidi ya makundi ya wapiganaji mashariki mwa taifa hilo. Akizungumza na kituo cha televisheni cha Fox News, Tshisekedi amesema…