JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Usiyoyajua kuhusu chifu aliyezikwa katika kaburi la mviringo akiwa ameketi Mbinga

Na Albano Midelo, JamhuriMedia, Ruvuma KATIKA kijiji cha Mbuji kilichojificha kwenye vilima vya wilaya ya Mbinga mkoani Ruvuma, kuna kaburi la aina yake kaburi linalobeba historia ya maumivu, ujasiri, usaliti, na ushindi. Hili si kaburi la kawaida. Ni kaburi la…

ACT Wazalendo yaongeza muda uchukuaji fomu Bara

CHAMA cha ACT Wazalendo kimesogeza mbele hadi Juni 30, 2025 zoezi la uchukuaji na urejeshaji fomu za nafasi mbalimbali za Uchaguzi Mkuu Tanzania Bara. Taarifa ya chama hicho iliyotolewa na Naibu Katibu Idara ya Habari, Uenezi na Mahusiano na Umma,…

Dk Biteko aeleza mapinduzi yaliyofanywa na Serikali sekta ya elimu

📌 Ataka CWT wasigawanyike, ahimiza amani, upendo na mshikamano* 📌 Serikali kuendelea kuajiri walimu kila mwaka 📌 Serikali ya Awamu ya Sita yajenga madarasa 62,685 ya shule za msingi na sekondari, shule mpya za msingi na sekondari 2,611 na nyumba…

Shekhe Mavumbi ahamasisha waislamu kupiga kura

Na Allan Kitwe, JamhuriMedia, Tabora WAUMINI wa dini ya kiislamu Mkoani Tabora wametakiwa kujitokeza kwa wingi kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka huu ili kuchagua madiwani, wabunge na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Wito huo umetolewa leo na Shekhe…

Viongozi 20 wa CCM Kibaha Mjini waachia ngazi kwa nia ya kugombea udiwani

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Kibaha Viongozi 20 wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kibaha Mjini, mkoani Pwani—wakiwemo Wenyeviti, Makatibu na Makatibu wa Jumuiya mbalimbali—wameachia nafasi zao wakitarajia kugombea Udiwani wa Kata pamoja na Viti Maalum katika Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba…