JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

CCM yabadilisha maisha Namonge

Mgombea Ubunge wa Jimbo la Bukombe kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Ndugu Doto Mashaka Biteko amesema kuwa Serikali ya CCM inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imebadilisha maisha ya watu wa Kata ya Namonge  kwa kuleta miradi…

Dk Samia aahidi kujenga barabara za lami na zege Kilimanjaro

Mgombea wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameahidi kuufungua Mkoa wa Kilimanjaro kwa kujenga barabara za viwango vya lami, zege na changarawe ili kukuza uchumi…

Jamii yatakiwa kupaza sauti kukomesha ukatili wa kijinsia

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam JAMII imetakiwa kuendelea kupaza sauti kwa pamoja ili kutokomeza ukatili wa kijinsia unaoendelea kushamiri katika maeneo mbalimbali nchini, hususan miongoni mwa watoto, wanawake na makundi mengine yaliyo katika mazingira magumu. Wito huo umetolewa…

Kishindo cha mgombea urais Dk Samia chapokelewa Arusha

Upepo wa kasi umepita, vibes kama loote linasikika, nyomi la watu limefurika yoote ni katika mapokezi makubwa ya Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt. 𝗦𝗮𝗺𝗶𝗮 𝗦𝘂𝗹𝘂𝗵𝘂…

Mpe kura yako Dk Samia ili tuendelee kunufaika na huduma bora za afya nchini

Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. 𝗦𝗮𝗺𝗶𝗮 𝗦𝘂𝗹𝘂𝗵𝘂 𝗛𝗮𝘀𝘀𝗮𝗻 iwapo atapewa kura za kutosha na kupata ridhaa ya kuongoza tena kwa miaka mitano ijayo atadumisha na kuongeza juhudi za…

Ummy amshukuru Samia kujali wenye ulemavu

Na Mwandishi Wetu-Jamhuri Media, Moshi Mbunge mteule wa viti maalum watu wenye ulemavu na Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu). Ummy Nderiananga amesema Rais Samia Suluhu Hassan amewatendea haki watu wenye ulemavu na kuwaomba Watanzania wamchague….