Author: Jamhuri
SAU yaahidi kulinda vyanzo vya maji
Na Aziza Nangwa,JamhuriMedia, Dar es Salaam Chama cha Sauti ya Umma (SAU) kimesema kwenye ilani yake ya mwaka 2025-2030 kwamba kitaushirikisha umma kulinda vyanzo vya maji pamoja na kutekeleza miradi yote ya maji na kujenga mabwawa makubwa kwa ajili ya…
Ada Tadea kuanzisha kilimo cha kisasa
Na Aziza Nangwa, JamhuriMedia, Dar es Salaam Chama cha ADA TADEA kimesema kitahakikisha kinatumia maarifa zaidi kufufua kilimo na ufugaji wa kisasa. Kupitia Ilani yake ya mwaka 2025-2030 kimesema kitaanzisha mashamba makubwa ya ngano kama vile Basotu, mashamba makubwa ya…
Chaumma kuunda sheria matumizi ya akili unde
Na Aziza Nangwa, JamhuriMedia, Dar es Salaam Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) kimeahidi kutunga sheria ya matumizi ya akili unde ndani ya siku 100. Kupitia ilani yake yam waka 2025/2030 kimesema sheria hiyo itakuwa kwa ajili ya maendeleo ya…
Aliyejaribu kumuua Trump apatikana na hatia
Ryan Routh amepatikana na hatia ya kujaribu kumuua Rais Donald Trump kwenye uwanja wa gofu wa Florida Septemba mwaka jana. Mahakama ilimpata Routh, 59, na hatia ya mashtaka yote, ikiwa ni pamoja na jaribio la mauaji ya mgombea mkuu wa…
HRW: Afrika iwakatae wahamiaji wa Marekani
Shirika la kimataifa la kutetea haki za binaadamu la Human Rights Watch, limesema mpango wa Marekani kuwapeleka wahamiaji katika nchi za Afrika unakiuka sheria ya haki ya kimataifa, na lazima ukataliwe. Katika siku za hivi karibuni, Eswatini, Ghana, Rwanda na Sudan Kusini…
Iran yakataa mazungumzo ya ana kwa ana na Marekani
Kiongozi mkuu wa Iran, Ayatollah Ali Khamenei, amekataa mazungumzo ya ana kwa ana na Marekani kuujadili mpango wa nyuklia wa Iran. Hatua hiyo huenda ikaondoa matumaini ya mwisho ya kuzuia kurejesha vikwazo vya Umoja wa Mataifa dhidi ya Iran. Matamshi…





