Author: Jamhuri
Umoja wa Ulaya waipa kongole REA
📌Kwa kuwa kinara katika kuhamasisha matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Wakala wa Nishati Vijijini (REA) unaendelea kuhamasisha wananchi kutumia Nishati Safi ya Kupikia ili ifikapo mwaka 2034, asilimia 80 ya wananchi wawe…
Waziri Mkuu akutana na Waziri wa Ardhi miundombinu, usafirishaji na utalii wa Japan
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Ardhi, Miundombinu, Usafirishaji, na Utalii wa Japan, Mheshimiwa Hiromasa Nakano kwenye Makao Mkuu ya Wizara hiyo Tokyo Japan, Mei 27, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza katika kikao na Naibu…
Dodoma ipo tayari, Jumuiya ya wanadiplomasia inakaribishwa
Jumuiya ya wanadiplomasia nchini imetakiwa kufikisha taarifa katika Serikali za nchi zao kuwa Dodoma ipo tayari na kwamba Serikali hizo zinatakiwa kutenga fedha kwa ajili ya ujenzi wa majengo ya ofisi na makazi ya balozi kwenye viwanja vilivyotolewa bure kwenye…
Rais Samia aongeza mikopo elimu ya juu kutoka bil. 464 hadi bil.787/-
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan imeongeza mikopo kwa Wanafunzi wa Elimu ya juu kutoka kiasi cha shilingi bilioni 464 katika bajeti…





