Author: Jamhuri
Ngorongoro yalemewa
*Majengo ya mamilioni yatelekezwa, yageuka magofu *Askari Uhifadhi walala vichakani mithili ya digidigi *Ukata wasababisha ujangili kuibuka upya Pololeti, Serengeti *Nyamapori zauzwa nje nje migahawani Loliondo Na Mwandihi Wetu, JamhuriMedia, Loliondo Mamlaka ya Hifadhi ya Eneo la Ngorongoro (NCAA) ambayo…
Ziara ya ghafla ya Kabila Goma ilivyotikisa siasa za DRC
Ziara ya ghafla ya aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), Joseph Kabila, katika mji wa Goma ulioko mashariki mwa nchi hiyo, imezua taharuki na mjadala mkali wa kisiasa nchini humo, huku serikali ikiitaja kuwa ni “usaliti wa…
Dk Mwinyi ashiriki kikao cha Kamati Kuu ya CCM Taifa
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi ameshiriki kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri ya CCM Taifa kilichoketi Jijini Dodoma na kuongozwa na Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri…
TLP yamchagua Wangira kugombea Urais
Na Heri Shaaban, JamhuriMedia, Dar es Salaam Chama cha Tanzania Labour Party (TLP) kimemchagua Yusuph Wangira, kuwa mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama hicho katika uchaguzi mkuu wa chama hicho uliofanyika Wilaya ya Ubungo mkoa Dar…





