Author: Jamhuri
Mbunge Regina Ndege atoa majiko 100 kwa baba na mama lishe Babati
Na Mary Margwe, JamhuriMedia, Babati Mbunge wa Viti Maalum wa Mkoa wa Manyara Regina Ndege amekabidhi majiko 100 yenye thamani ya sh.mil.5,500,000 Kwa akina mama na baba Lishe wa Kata ya Riroda na Magugu wilayani Babati Mkoani humo ili kuendelea…
India yatoa tahadhari baada ya meli iliyobeba shehena hatari kuzama
Mamlaka katika jimbo la Kerala kusini mwa India wametoa tahadhari baada ya meli iliyokuwa imebeba mafuta na shehena ya hatari kuvuja na kuzama katika ufuo wa jimbo hilo katika bahari ya Arabia. Mwagikaji huo ulitokea katika meli yenye bendera ya…
Urusi na Ukraine wabadilishana wafungwa
URUSI na Ukraine zimebadilishana mamia ya wafungwa ambayo ni sehemu ya tatu na ya mwisho ya mpango huo uliashirikia hatua isio ya kawaida ya ushirikiano kati ya mataifa hayo mawili. Kando na hatua hiyo mataifa hayo yameshindwa kufikia makubaliano ya…
Trump aahirisha ushuru wa asilimia 50 kwa Ulaya
RAIS Donald Trump wa Marekani ametangaza kuahirisha utozaji ushuru wa asilimia hamsini kwa bidhaa zinazotoka Umoja wa Ulaya uliokuwa uanze tarehe Mosi Juni. Trump alisema sasa hatua hiyo itaanza kutekelezwa tarehe 9 Julai, na kwamba amechukuwa uamuzi huo ili kupisha…
Ndege za ATCL zazidi kupasua anga ruti za Afrika
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es SalaM KAMPUNI ya Ndege ya (ATCL), imeendelea kutanua wigo wa safari zake na sasa iko katika mchakato wa kutafuta vibali vya kuanza safari za kutua mji wa Lagos Nigeria, Accra Ghana, Ivory Coast na…
Askofu Msaidizi Tabora awekwa Wakfu, Waziri Lukuvi amwakilisha Rais Samia
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Tabora Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), Mhe. William Lukuvi, amemuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika ibada maalum ya kuwekwa wakfu kwa Askofu…





