Author: Jamhuri
Wataalam sekta ya utalii watakiwa kuleta maboresho
Na Happiness Shayo, JamhuriMedia, Tanga Watendaji na Maafisa Utalii nchini wametakiwa kufanya kazi kwa uadilifu, kujituma na ubunifu kuhakikisha Sekta ya Utalii inaboreshwa kwa manufaa ya Taifa. Hayo yamesemwa leo Februari 23, 2025 na Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe….