Author: Jamhuri
Wizara ya Madini yafanikiwa kuzima jaribio la usafirishaji haramu almasi
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam SERIKALI kupitia Wizara ya Madini imefanikiwa kuzuia jaribio la kusafirisha kinyume cha sheria madini ya almasi yenye thamani ya dola za Marekani 635,847.66, sawa na takriban shilingi bilioni 1.7, kupitia Uwanja wa Ndege…
Wajadili teknolojia matibabu mfumo wa chakula
Wataalamu takribani 200 wa afya ya mfumo wa mmeng’enyo wa chakula wamekutana leo jijini Dar es Salaam kujadili namna ya kutumia Akili Mnemba(AI) katika matibabu ya magonjwa ya mfumo wa chakula yanayoathiri jamii kwa kiasi kikubwa. Kongamano hilo la kwanza…
Mbeki: Changamoto inayoikumba Afrika si ukosefu wa sera nzuri bali ni uhaba wa viongozi wenye kuzitekeleza
Aliyekuwa Rais wa Afrika Kusini, Thabo Mbeki, amesema kuwa changamoto kubwa inayolikumba Bara la Afrika si ukosefu wa sera nzuri bali ni uhaba wa viongozi wenye uwezo wa kuzitekeleza. Akizungumza wakati wa Mhadhara wa Siku ya Afrika uliofanyika Dar es…
JET na mkakati wa kuwalinda viumbe bahari, wafanya jitihada za kumlinda kasa
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam KILA ifikapo Mei 23 kila mwaka huadhimishwa Siku ya Kimataifa ya Kasa, Kasa ni mnyama wa majini ambaye wengi humfananisha na kobe kwa sababu ya ufanano wao wa zaidi ya asilimia 90. Kasa…
Makonda: Rais Samia ametoa bilioni 42. 34 kulipa fidia kwa wananchi Arusha
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Christian Makonda, amesema kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametoa kiasi cha shilingi bilioni 42.34 kwa ajili ya kulipa fidia kwa wananchi wa Mkoa wa Arusha ili…





