JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Tanzania yajikita kuvutia wawekezaji katika mkutano wa biashara na wawekezaji Ufaransa

Mkutano wa Biashara na Uwekezaji (Business and Investment Forum) uliofanyika kwa siku mbili katika Mji wa Marseille, nchini Ufaransa, kuanzia Februari 11 hadi 12 mwaka huu, umefungua fursa mpya kwa Tanzania katika kuvutia wawekezaji wa kimataifa. Ujumbe kutoka Tanzania, uliongozwa…

Waziri Mkuu Majaliwa mgeni rasmi Samia Marathon Mlandizi

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Pwani Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika Mbio za Samia Marathon zitakazofanyika Februari 22, 2025, katika viwanja vya Shule ya Mtongani, Mlandizi, Kibaha Vijijini, mkoani Pwani. Mbio hizi zinalenga kuhamasisha wananchi kuhusu umuhimu…

Marekani yasusia mkutano wa G20 nchini Afrika Kusini

Mkutano wa mawaziri wa masuala ya kigeni wa nchi tajiri duniani (G20) umeanza leo huko Afrika kusini. Hata hivyo, Marekani kupitia Waziri wake wa masuala ya kigeni wa Marekani Marco Rubio haitohudhuria mkutano huo. Marco Rubio alitangaza kutohudhuria kupitia kwenye…

Operesheni ya kuwadhibiti fisi Simiyu yaonesha mafanikio makubwa

📍 Zaidi ya Fisi 16 wavunwa. Na Mwandishi Wetu, Jamuhuri Media , Simiyu Oparesheni maalumu ya kuwadhibiti wanyamapori wakali na waharibifu aina ya fisi waliokuwa wanaleta taharuki na madhara Kwa jamii inayoendelea Mkoani Simiyu imeonesha mafanikio makubwa baada ya fisi…

TAKUKURU kuna rushwa kwa waamuzi

Na Andrew Peter, JamhuriMedia, Dar es Salaam Madai na shutuma za waamuzi kuhongwa ni moja ya mambo ya kawaida kuyasikia kila siku katika Ligi Kuu Tanzania Bara, lakini hadi sasa Takukuru haijafanya lolote kuwakamata wahusika. Waamuzi wanalaumiwa kwa kufanya upendeleo…