JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Iran yasisitiza haitoacha urutubishaji wa urani

Iran leo kupitia waziri wake wa mambo ya nje Abbas Araghchi imesema haitoacha kurutubisha madini urani. Tamko hili la Araghchi linaonyesha msimamo wa jamhuri hiyo ya Kiislamu katika mazungumzo yake na Marekani kuhusiana na mpango wake wa nyuklia unaokuwa kwa…

Waziri Mkuu wa zamani DRC ahukumiwa kifungo cha miaka 10 jela kwa ufisadi

Waziri Mkuu wa zamani wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), Augustin Matata Ponyo, amehukumiwa kifungo cha miaka 10 jela pamoja na kufanya kazi ngumu, baada ya kupatikana na hatia ya ubadhirifu wa fedha za umma. Hukumu hiyo imetolewa na…

DCEA yateketeza mashamba ya bangi ekari 157 Kondoa

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Kondoa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), kwa kushirikiana na Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya ya Kondoa pamoja na wananchi wa Kata ya Haubi, wamefanikisha operesheni maalum ya kutokomeza kilimo…

Tanzania yajipanga kuja na Mahakama ndani ya SGR

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Geita Tanzania imejipanga kuja na huduma za mahakama kwa kutumia mabehewa ya Treni ya Kisasa (SGR) na huduma ya mahakama kwa njia ya ndege ili kuboresha usikilizaji kesi na utoaji haki kwa wakati. Ofisa Mtendaji Mkuu…

Mwinyi: Mkopo wa bil 240/- kujenga skuli 23 za ghorofa

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Hussein Ali Mwinyi, ameshuhudia utiaji saini wa mkataba wa mkopo wa Shilingi Bilioni 240 kati ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na Benki ya CRDB kwa ajili ya ujenzi wa…