JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Serikali kutatua changamoto ya kufurika wa mito

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Serikali kupitia Ofisi ya Makamu wa Rais imesema inatarajia kuwezesha usafishaji na ujenzi wa kuta za mito yenye changamoto ya kufurika hasa wakati wa mvua ili kuwanusuru wananchi na kuathiriwa na mafuruko. Hayo yamesemwa na…

Majaliwa : Serikali imejipaga kudhibiti magugumaji ziwa Victoria

*Amshukuru Rais Dkt. Samia ununuzi wa mitambo ya uteketezaji wa magugumaji WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema Serikali imeweka mikakati madhubuti ya kuhakikisha changamoto ya uwepo wa magugumaji katika ziwa Victoria inapatiwa ufumbuzi ili kuwezesha shughuli za kijamii ziweze kuendelea katika…

Nyongeza ya mshahara asilimia 35.1, uthibitisho wa Rais Samia kuwajali wafanyakazi

Na Dk. Reubeni Lumbagala, JamhuriMedia, Tanga Kila ifikapo Tarehe 01 Mei ya kila mwaka, huadhimishwa Siku ya Wafanyakazi Duniani. Kila nchi huadhimisha siku hii kwa utaratibu wake, muhimu ni kufanya tafakuri ya hoja za wafanyakazi ili hoja hizo zifike katika…

Wizara ya Maliasili yatangaza vipaumbele 10 vya Bajeti 2025/2026 ikiwemo kuinua italii na uhifadhi

Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma Wizara ya Maliasili na Utalii imetangaza vipaumbele vyake kumi kwa Mwaka wa Fedha 2025/2026 ikiwemo Kuendelea kutangaza utalii ndani na nje ya nchi kupitia,matangazo katika ligi kuu za michezo mashuhuri duniani,mashindano ya kimataifa, mashirika ya…

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia Dar es Salaam Mwenyekiti wa Cha Deokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu amepandishwa mahakamani kwa mara ya kwanza tangu kukamatwa kwake mapema Aprili, 2025. Lissu alikamatwa Aprili 9, 2025 baada ya kuitisha mageuzi ya uchaguzi na…