JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

‘Watumishi wanaoshinda rufaa warudishwe kazini’

Ofisi ya Rais ,Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora imewaagiza waajiri wa taasisi za umma kuwarudisha kazini watumishi wanaoshinda mashauri ya rufaa za kinidhamu kadiri ya maelekezo yaliyotoka kwenye Tume ya Utumishi wa Umma. Naibu Waziri wa Ofisi…

Biteko : Afrika tunapaswa kutumia rasilimali tulizonazo kuzalisha umeme wa kutosha

📌 Asema pamoja na dunia kuhamia kwenye nishati jadidifu, makaa ya mawe yatasaidia Afrika kuwa na umeme wa kutosha 📌 Aeleza mafanikio sekta ya nishati Tanzania katika Jukwaa la Mawaziri Wiki ya Nishati India 📌 Tanzania yapongezwa kwa miradi ya…

Kituo cha mfano Katente chaongoza makusanyo Mbogwe

Afisa Madini atoa Wito wachimbaji kuvitumia Abainisha fursa za Uwekezaji Sekta ya Uchimbaji mdogo Mbogwe Mbogwe Uwepo wa Kituo cha Mfano cha Katente katika Mkoa wa Kimadini Mbogwe umeleta mapinduzi katika ukusanyaji wa Maduhuli ya Serikali kufuatia Wachimbaji Wadogo wa…

Tume ya Madini yaweka mikakati ya kuinua sekta ya madini

Dodoma Leo Februari 11, 2025 Mwenyekiti wa Tume ya Madini, Janet R. Lekashingo ameongoza kikao cha Kamisheni ya Tume ya Madini kilichofanyika jijini Dodoma kwa lengo la kupokea na kujadili taarifa ya utekelezaji wa majukumu ya Tume ya Madini kwa…

EWURA yakabidhi msaada vya vifaa vya umwagiliaji kwa kikundi Songea

Na Cresensia Kapinga, JamhuriMedia, Songea Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na maji (EWURA), imekabidhi vifaa vya umwagiliaji maji ikiwemo tenki lenye ujazo wa lita 5000,mabomba, mipira pamoja na vifaa vitakavyotumika kufunga vifaa hivyo vyote vikiwa na thamani ya…

TANESCO, EWURA imeweka mwongozo wa gharama za kuunganisha umeme – Kapinga

📌 Asema Serikali imeweka ruzuku kwenye miradi ya umeme Vijijini Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Naibu Waziri wa Nishati, Mhe Judith Kapinga amesema,Serikali kupitia Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) na Mamlaka ya Udhibiti Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imeweka…