JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Serikali inatoa kipaumbele kufikisha umeme taasisi zinazotoa huduma kwa jamii – Kapinga

📌 Hadi Januari 2025 taasisi za elimu zilizopatiwa umeme kupitia REA ni 18,597. 📌 Asema Serikali inatoa ruzuku kwa watumiaji wa mwisho wa gesi ya LPG Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Naibu Waziri wa Nishati, Mhe Judith Kapinga amesema Serikali…

Trump : Kuna matumaini ya kumaliza vita Ukraine

Rais wa Marekani Donald Trump amesema anaamini kwamba Washington, inapiga hatua katika mazungumzo yake ya kumaliza vita kati ya Urusi na Ukraine. Rais wa Marekani Donald Trump amesema anaamini kwamba Washington, inapiga hatua katika mazungumzo yake ya kumaliza vita kati…

Askari wa Kongo waliokimbia mapigano kushitakiwa

Wanajeshi wapatao 75 nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo watapandishwa kizimbani leo, kwa kukimbia mapigano baada ya waasi wa M23 wanaoungwa mkono na Rwanda kusonga mbele katika jimbo la mashariki la Kivu Kusini. Taarifa iliyotolewa Jumapili na ofisi ya mwendesha…

Mchengerwa atoa wito kwa waandishi wa habari kupambania tuzo za kitaaluma

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Bahi WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais, TAMISEMI, Muhammed Mchengerwa ametoa wito kwa waandishi wa habari nchini kujitokeza kupambania tuzo mbalimbali zinazotolewa, kwani ni fursa inayowatambulisha ufanisi kwenye umma na inaimarisha utendaji wa kazi zao. Alitoa…

Tamasha la NMB Kijiji Day lapata matokeo chanya Njombe

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Njombe Wakazi wa Kijiji cha Image kilichopo Halmashauri ya Wilaya ya Njombe, wametakiwa kuacha tabia ya  kutunza fedha nyumbani badala yake watumie huduma za kibenki ili kuepuka uharibifu wa fedha na vitendo vya wizi na uporaji…

Wasira apiga marufuku vyama vya upinzani kuwatumia vijana Mara kufanya vuruguru

*Amtaka Waziri Maliasili na Utalii Kufika haraka Serengeti Na Mwandishi Wetu, JamuriMedia, Mara Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amesema ni marufuku kwa vyama upinzani kuwatumia vijana kutoka mkoani Mara kama nguvu kazi ya kufanya…