JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Mhandisi Samamba ahimiza uaminifu kwa watoa huduma migodini

• Azindua Kamati TAMISA_• Asifu utulivu sekta ya madini_• Dkt• Numbi ahaidi fursa TAMISA_• Viongozi TAMISA kicheko, wajipanga kuvuna Shilingi Trilioni 3.1/-_ KATIBU Mkuu wa Wizara ya Madini, Mhandisi Yahya Samamba amesema kutokana na utulivu uliopo katika Sekta ya Madini,…

Makalla afurahia utabiri wa Lissu kutimia

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla, ametoa kauli yenye msisimko kuhusu kile anachokiita “kutimia kwa utabiri wa Tundu Lissu”, Mwenyekiti wa CHADEMA, kuhusu hali ya chama chake….

Viongozi zaidi ya 200 wahitimu mafunzo ya uongozi

Na Lookman Miraji, JamhuriMedia, Dar es Salaam Jumla ya viongozi 200 kutoka barani Afrika wamehitimu mafunzo ya uongozi kupitia taasisi ya kikanda ya Uongozi (Uongozi Institute). Mafunzo hayo katika ngazi mbalimbali zimelenga kukuza uwezo wa viongozi katika maeneo ya sifa…

Silaa aridhishwa na utekelezaji mradi wa Kituo cha Kitaifa cha Kuhifadhi Data Kimtandao

Na Mwandishi wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry Silaa ameonesha kuridhishwa na maendeleo ya utekelezaji wa mradi wa Kituo cha Kitaifa cha Kuhifadhi Data Kimtandao (NIDC) wakazi wa ziara ya Waziri Mkuu, Kassim…

CHADEMA kunazidi kufukuta, mwenyekiti Dodoma ang’atuka

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia, Dodoma Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Dodoma, Aisha Saleh Madoga, amejivua wadhifa wake na nafasi nyingine zote alizokuwa anazishikilia ndani ya chama hicho. Akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari uliofanyika jijini…