JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Mfalme Zumaridi mikononi mwa Polisi tena kwa tuhuma kuendesha ibada kinyume na sheria

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia, Mwanza Jeshi la Polisi mkoani Mwanza limemkamata tena Diana Edward Bundala, maarufu kama Mfalme Zumaridi, kwa tuhuma za kuendesha shughuli za kidini kinyume na sheria, akiwa katika mtaa wa Buguku, kata ya Buhongwa, wilaya ya Nyamagana. Kwa…

Msiwafiche watoto wenye utindio wa Ubongo: Doreen

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam JAMII imetakiwa kutokuwaficha watoto wenye utindio wa ubongo kwani ni watoto kama walivyo wengine. Wito huo umetolewa na Doreen Fitzpatrick ambaye ni Mtanzania anayeishi Marekani na Mkurugenzi wa Sassyfly Luxury Event wakati akitoa…

CCM Bunda yatoa msimamo

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Bunda *Chasisitiza wajumbe wa mwaka2022 ndiyo wapiga kura CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Bunda mkoani Mara, kimesema wajumbe waliochaguliwa mwaka 2022 ndiyo watakaoruhusiwa kupiga za maoni za kuchagua mbunge na si vingenevyo. Kauli ya chama…

Serikali yawezesha miradi 80 kwa utaratibu wa PPP – Waziri Chande

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma SERIKALI imewezesha miradi 80 ambayo ipo katika hatua mbalimbali za utekelezaji kwa utaratibu wa Ubia kati ya Sekta za Umma na Sekta Binafsi (PPP). Akizungumza bungeni jijini Dodoma mapema wiki hii, Naibu Waziri wa Fedha,…

DC Batenga avitaka vyama vya wakulima kumiliki ardhi

Na Manka Damian, JamhuriMedia, Chunya MKUU wilaya ya Chunya, Mbaraka Alhaji Batenga amewataka wakulima wa vyama vya ushirika wilaya ya Chunya kuhakikisha wanamiliki ardhi kwaajili ya matumizi ya sasa na hata matumizi ya baadaye ya vyama hivyo kwani ardhi inaongezeka…

Elimu ya Nishati Safi ya umeme wa kupikia yawakosha waandishi waendesha ofisi nchini

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia, Arusha Waandishi Waendesha Ofisi kutoka taasisi mbalimbali nchini wamelipongeza Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kwa kuwapatia elimu sahihi ya matumizi ya Nishati Safi ya umeme kupikia hali itakayosaidia kuondokana na matumizi ya Nishati zisizo salama ikiwemo kuni…