Author: Jamhuri
Kwa heri Mzee Msuya,nchi itakukumbuka, kwa alama ulioiacha
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Mei 7, mwaka huu, Rais Samia Suluhu ametangaza kifo cha Makamu wa Kwanza wa Rais na Waziri Mkuu mstaafu, Cleopa Msuya, kilichotokea asubuhi ya tarehe hiyo katika Hospitali ya Mzena, Dar es Salaam alipokuwa akipatiwa matibabu…
Chadema sikio la kufa
*Ni kwa kupuuzwa ombi la Mbowe la kuundwa ‘kamati ya maridhiano’ *Makundi ya viongozi, wanachama waandamizi wadai chuki itaua chama *Wadau wajiuliza iwapo CHAUMMA itaweza kuhimili vishindo Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia,Dar es Salaam Wahenga wanasema sikio la kufa halisikii dawa….
Serikali yazindua mradi wa mazingira Kigoma
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Kigoma Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kupitia Ofisi ya Makamu wa Rais kwa kushirikiana na Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi (UNCHR) imezindua Mradi wa Kujenga Uwezo wa Kuhimili Mabadiliko ya Tabianchi katika Mazingira…
JKCI, UNA VOCE PER PADRE PIO wasaini mkataba kuwasaidia watoto wenye matatizo ya moyo Afrika
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMdia, Dar es Salaam Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) imesaini mkataba wa kushirikiana na Shirika la UNA VOCE PER PADRE PIO lililopo nchini Italia kuwasaidia watoto wenye magonjwa ya moyo waliopo barani Africa. Mkataba huo umesainiwa…
Mkuu wa Majeshi Uganda awatishia raia wanaompinga babake
Mkuu wa majeshi ya Uganda Jenerali Muhoozi Kainerugaba amesema kuwa raia yeyote ambaye hatampigia kura baba yake katika uchaguzi mkuu ujao, atafukuzwa nchini humo. Mkuu wa majeshi ya Uganda Jenerali Muhoozi Kainerugaba amesema kuwa raia yeyote ambaye hatampigia kura baba…
Zelenskiy agomea mazungumzo baada ya Putin kutotokea
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amegomea mazumgumzo ya amani yaliopangwa nchini Uturuki baada ya Rais wa Urusi Vladmir Putin kutojitokeza na badala yake viongozi hao wamewakilishwa na maafisa wa chini. Ametangaza kuwa hatashiriki mazungumzo ya amani yanayotarajiwa kufanyika leo mjini…





