JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

TAKUKURU Kinondoni wafanya uchambuzi wa mifumo na kubaini upotevu na ufujaji wa fedha za umma

Na Magrethy Katengu, JamhuriMediaDar es Salaam Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Kinondoni imesema katika kipindi cha mwezi Okoba hadi Desemba 2024 wamefanya uchambuzi wa mifumo na wamebaini mianya ya rushwa katika maeneo ya ofisi, taasisi, na idara…

Mhagama : Serikali imefanya mageuzi makubwa sekta ya Afya, aipa tano MSD

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Waziri wa Afya Jenista Mhagama leo February 6, 2025 ametembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa mradi wa ghala la Kisasa la kuhifadhia bidhaa za afya linalojengwa na na Bohari ya Dawa (MSD) katika eneo…

Majaliwa : Tutaendelea kujiimarisha kiuchumi

*Ampongeza Rais Dkt. Samia kwa kuendeleza mahusiiano ya Kimataifa WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema Serikali itahakikisha inajiimarisha katika kukuza uchumi wake kwa kutumia rasilimali zilizopo ili kuweza kumudu kutekeleza maeneo yote muhimu yakiwemo ya sekta ya afya, elimu na maji….

CBE kuanza kutoa PhD ya infomatiki za baishara

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam CHUO cha Elimu ya Biashara (CBE), kinatarajia kuanzisha program ya Shahada ya Uzamivu (PhD) katika Infomatiki ya Biashara ili kuleta mabadiliko ya uchumi wa kidijitali na teknolojia katika kufanya biashara za kidijitali kuendana…

Trump apiga marufuku wanamichezo wa kike waliobadili jinsia kushindana mashindano ya wanawake

Rais wa Marekani Donald Trump ametia saini agizo linalozuia wanawake waliobadili jinsia kushindana katika michezo ya wanawake. “Kuanzia sasa, michezo ya wanawake itakuwa ya wanawake tu,” Trump alisema, akizungukwa na wanariadha wanawake na wasichana kabla ya kusaini agizo hilo huko…

Amuua mpenzi wake, naye ajiua kwa kujinyonga

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mwanza Adamu Kailanga (30), mfanyabiashara na Mkazi wa Mtaa wa Mkudi wilayani Ilemela mkoani Mwanza, anadaiwa kumuua mpenzi wake aitwaye Benadeta Silvester, (21), kwa kumkaba koo kisha naye kujiua kwa  kujinyonga na mtandio. Hivyo Jeshi la…