Author: Jamhuri
Kutoka bungeni Dodoma
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko akijadiliana jambo na Naibu Waziri Nishati, Mhe. Judith Kapinga Bungeni Jijini Dodoma wakati wa kipindi cha maswali na majibu leo Februari 03, 2025.
Changamoto ya wafanyabiashara wageni kufanyakazi za Watanzania kutatuliwa
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt. Selemani Jafo ameunda Timu ya watu 15 kwa ajili ya kufuatilia changamoto inayowakumba wafanyabiashara wa Kariakoo ya wawekezaji wageni wanaokuja nchini na ajenda ya uwekezaji kinyume chake…
Rais Samia ameing’arisha Chamwino kimaendeleo – Dk Biteko
📌Serikali imewekeza zaidi ya bilioni 13 elimu ya Sekondari Chamwino 📌Uboreshaji wa miundombinu shilingi bilioni 17.9 zimetumika 📌Vijiji vyote 47 Chamwino vimewashwa umeme 📌Asema Sekta ya Nishati ipo salama Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Rais…
Dk Masika aridhishwa utekelezaji mradi wa Membe
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Mwenyekiti Bodi ya Uongozi Tume ya Taifa ya Umwagiliaji Dkt. Richard Masika amekiri kuridhishwa na hatua zinazofanywa na Tume katika utekelezaji miradi ya Umwagiliaji ikiwemo mradi wa ujenzi bwawa laUmwagiliaji Membe lililopo wilayani Chamwino mkoani…
TPA yapeleka wafanyakazi 23 kuongeza ujuzi nchini Misri
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) na Chuo cha Arab Academy for Science Technology and Maritime Transport (AASTMT) cha nchini Misri zimesaini randama ya makubaliano ya kushirikiana katika kutoa mafunzo ya shughuli…