Author: Jamhuri
Ubovu wa barabara Arusha, kikwazo cha maendeleo, usalama na hadhi ya Jiji la Kitalii
Na Zulfa Mfinanga, JamhuriMedia, Arusha Jiji la Arusha, moja ya miji muhimu ya kitalii na kibiashara nchini Tanzania, linakabiliwa na changamoto kubwa ya ubovu wa barabara, hasa zile zilizopo katikati ya mji. Barabara nyingi ni nyembamba na hazijaendelezwa kulingana na…
Rais Samia aongoza Watanzania mazishi ya hayati Cleopa Davis Msuya wilayani Mwanga
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan ameongoza waombolezaji katika ibada ya kuuaga mwili wa Makamu wa Kwanza wa Rais na Waziri Mkuu Mstaafu, Hayati Cleopa David Msuya, iliyofanyika katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri…
Dk Biteko awasili nchini Morocco kwa ziara ya kikazi
📌Ushirikiano Tanzania, Morocco kuimarishwa Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amewasili nchini Morocco kwa ziara ya kikazi inayolenga kukuza na kuimarisha mahusiano kati ya nchi hizi mbili katika Sekta ya Nishati. Mara baada ya kuwasili, Dkt….
Siasa zisiingizwe JWTZ
Na Manyerere Jackton, JamhuriMedia Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) ni chombo nyeti. JWTZ ndiyo taasisi iliyoendelea kukosha nyoyo za Watanzania tangu kuanzishwa kwake miongo mingi iliyopita. Unyeti wake unatulazimu sote tunapoijadili, tuijadili kwa weledi, staha na kutambua dhima kubwa iliyonayo kwa usalama…





