Author: Jamhuri
TANESCO yashinda tena tuzo za ubora huduma kwa wateja za CICM
📌Urahisi wa upatikanaji huduma kwa njia za kidigitali watajwa moja ya kigezo cha kushinda tuzo hiyo 📌MD Gissima aibuka kidedea kwa Kusimamia Maboresho yenye tija huduma kwa wateja Sekta ya Umma. Shirika la umeme Tanzania TANESCO kwa mara nyingine tena…
Wanakwaya saba wafariki, 75 wajeruhiwa katika ajali mbili tofauti Same
Na Ashrack Miraji, JamhiriMedia, Same Watu saba wamefariki dunia na wengine 75 wamejeruhiwa katika ajali mbili tofauti zilizotokea wilayani Same. Ajali ya kwanza ilitokea majira ya saa saba usiku wa kuamkia leo katika maeneo ya Njoro na kuhusisha basi la…
Watu zaidi ya 1,000 wafariki kwa tetemeko la ardhi Myanmar
MAMLAKA nchini Myanmar imesema leo kwamba tetemeko kubwa la ardhi limewaua zaidi ya watu 1,000 na kuwajeruhi wengine zaidi ya 2,300 huku makumi ya wengine wakiwa hawajulikani walipo. Mamlaka nchini Myanmar imesema leo kwamba tetemeko kubwa la ardhi limewaua zaidi…
Wimbi jipya la mashambulizi ya Israel laua watu 921 Gaza
Wizara ya afya katika Ukanda wa Gaza inayodhibitiwa na kundi la Hamas imesema leo Jumamosi kwamba watu 921 wameuawa katika eneo la Palestina tangu Israel ilipoanzisha wimbi jipya la mashambulizi mnamo Machi 18 mwaka huu. Wizara ya afya katika Ukanda…
CCM yampa Peter Msigwa jukumu la kupigania ushindi Kanda ya Ziwa
Na Mwandishi Wetu Mchungaji Peter Msigwa, ambaye awali alihusishwa na tetesi za kurejea chama chake cha awali, Chadema, amepewa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) jukumu muhimu la kupigania ushindi wa chama hicho katika Kanda ya Nyasa. Akihutubia maelfu ya wanachama…