JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Mchakato wa Dira 2050 waanza, AZAKI watoa maoni

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji Mh.Stanslaus Haroon Nyongo (Mb,)ameziomba Asasi za Kiraia (AZAKI) kufanya majadiliano ya pamoja badala ya kujikita kwenye ukosoaji, ili kujenga uelewa wa pamoja utakaofanikisha…

Dk Mpango: Tanzania inathamini ushirikiano wake na Marekani

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango amesema Tanzania inathamini ushirikiano uliopo na Taifa la Marekani ambao umetoa mchango katika maendeleo ya sekta mbalimbali. Makamu wa Rais amesema hayo wakati akifanya mazungumzo ya kumuaga Balozi…

Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora yachunguza vifo vya watu wawili Pemba

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Pemba Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) imeeleza kuwa inachunguza vifo vya watu wawili vilivyotokea hivi karibuni katika Mkoa wa Kaskazini Pemba. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo, Januari 10, 2025, na Kamishna…

Tanzania, Japan zatia saini hati ya makubaliano ushirikiano miradi ya afya nchini

Na WAF – Dodoma Tanzania na Japan zimetia saini hati ya Makubaliano (MoU) ya utekelezaji miradi ya huduma za Afya lengo likiwa kuboresha huduma hizo na kuhuisha ushirikiano kwa kipindi cha miaka mitano (5) kwa kuzingatia vipaumbele vya pamoja.  Utiaji…

RC Makonda autaka uongozi Jiji Arusha kuwapa kipaumbele wazawa

Na Happy Lazaro, JamhuriMedia, Arusha Mkuu wa mkoa wa Arusha Paul Makonda ameutaka uongozi wa halmashauri ya jiji la Arusha kuhakikisha wanawapa kipaumbele wazawa wa makampuni katika kuwapatia kazi za tenda. Makonda ameyasema hayo leo mkoani Arusha katika ziara yake…