JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Mwinyi: Zanzibar itaendelea kuweka mazingira mazuri kwa wawekezaji sekta ya Uchumi Buluu

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Zanzibar RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali itaendelea kuweka mazingira mazuri kwa wawekezaji wakubwa katika Sekta ya Uchumi wa Buluu ili nao wawasaidie wafugaji wadogo wadogo kuimarisha…

REA yaendelea ilipoishia umeme nyumba kwa nyumba

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia, Tabora WAKALA wa Nishati Vijijini (REA) imeendelea na kampeni yake ya nyumba kwa nyumba ya kutoa elimu kuhusu faida na matumizi ya umeme pamoja na kuhamasisha wananchi kuunganisha umeme. Akizungumza wakati wa kampeni hiyo kwa Mkoa wa…

Mahakama ya Juu Marekani yakataa ombi la Trump la kusitisha hukumu dhidi yake

Mahakama ya Juu nchini Marekani imetupilia mbali ombi la Rais mteule Donald Trump la kusitisha hukumu dhidi yake hii leo Ijumaa katika kesi inayomkabili ya uhujumu uchumi Trump alipatikana na hatia ya kughushi nyaraka kwa lengo la kuficha kiwango halisi…

Dk Gwajima aagiza kuundwa kamati za ulinzi wa watoro

Na Allan Kitwe, JamhuriMedia, Tabora SERIKALI imeelekeza shule zote nchini kuhakikisha zinaunda Kamati za Ulinzi wa Watoto ili kukabiliana na vitendo vya ukatili na maadili yasiyofaa kwa watoto ambayo hupelekea kuiga tabia mbaya hivyo kushindwa kutimiza ndoto zao. Agizo hilo…

Jokate awapa tano vijana kwa maandalizi mazuri ya Mkutano Mkuu CCM

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma KATIBU Mkuu wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi(UVCCM), Jokate Mwegelo amesema jumuiya hiyo imeridhishwa na kazi kubwa na nzuri iliyofanywa na vijana wa chama hicho ya kuandaa ukumbi kwa ajili ya…

Polisi wathibitisha kumshikilia Dk Silaa

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, limethibitisha kumshikilia Dkt. Wilbroad Silaa baada ya kumkamata usiku wa kuamkia leo Januari 10, 2024. Kamanda wa Kanda Maalum Dar es Salaam, SACP Jumanne Murilo amethibitisha leo Januari 10, 2025 “Daktari…