JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Miaka minne ya Rais Samia imeleta mapinduzi ya utalii Mpanga/ Kipengere – Semfuko

📍 Mapato na Idadi ya Watalii Vyaongezeka Na Beatus Maganja, JamhuriMedia, Mbeya Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA), Meja Jenerali (Mstaafu) Hamis R. Semfuko, amesema kuwa juhudi za Serikali ya Awamu ya Sita…

Kongo iko tayari kwa mkataba na Marekani : Tshisekedi

Rais Felix Tshisekedi amesema nchi yake iko tayari kuingia mkataba wa madini na Marekani kwa mabadilishano ya kupatiwa uwezo wa kujilinda dhidi ya makundi ya wapiganaji mashariki mwa taifa hilo. Akizungumza na kituo cha televisheni cha Fox News, Tshisekedi amesema…

Mashambulizi ya Israel yaua watu 70 Gaza

Wapalestina wanaokaribia 70 wameuawa leo na wengine kadhaa wamejeruhiwa katika mashambulizi makali ya anga ya vikosi vya Israel kwenye Ukanda wa Gaza. Mashambulizi hayo yanatajwa kuwa makali tangu utawala mjini Tel Aviv ulipotangaza kurejea kwa operesheni ya kijeshi kwenye eneo…

Umoja wa Ulaya waamua kuongeza matumizi ya ulinzi

Viongozi wa Umoja wa Ulaya walikutana mjini Brussels Alhamisi na kukubaliana kuongeza matumizi ya ulinzi kufikia mwaka 2030, huku wakiafikiana pia kuendelea kutoa msaada zaidi kwa Ukraine. Katika mkutano huo wa kilele mjini Brussels Alhamisi jioni (20.03.2025), viongozi hao wa…

Netanyahu amfuta kazi mkuu wa Ujasusi Israel

Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amemfuta kazi mkuu wa Idara ya Ujasusi wa taifa hilo kutokana na kushindwa kuligundua shambulio la Oktoba 7, 2023 la Hamas. Baraza la mawaziri la Israel lilikutana Alhamisi jioni ili kuidhinisha rasmi kufutwa kazi…

Miradi ya REA yaiwezesha Tanzania kung’ara kimataifa

Imeelezwa kuwa, utekelezaji wa miradi ya kusambaza nishati safi ya kupikia vijijini umeiwezesha Tanzania kung’ara katika Mkutano wa 69 wa Kamisheni ya Hali ya Wanawake Duniani (CSW 69) unaofanyika jijini New York, nchini Marekani kuanzia tarehe 11 hadi 22 Machi,…