JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Serikali yatunga kanuni kuzuia wageni kuingia kwenye leseni ndogo za uchimbaji madini bila utaratibu

Serikali kupitia Wizara ya Madini imetunga kanuni za msaada wa kiufundi katika Leseni ndogo za uchimbaji wa Madini ambapo zitaratibu ushiriki wa wageni katika Leseni ndogo za uchimbaji wa Madini(PML) ambazo kwa mujibu wa kifungu cha 8 cha Sheria ya…

Mndolwa : Mziki wa Rais Samia bado unaendelea umwagiliaji

Mradi wa Membe Kunusuru SGR Dodoma: Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Taifa ya Umwagiliaji (NIRC), Raymond Mndolwa amesema kuwa kasi ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan bado inandelea katika miradi ya umwagiliaji na kwamba kila mkoa utafikiwa. Mndolwa amesema miradi…

Tanzania ni mshiriki wetu wa kweli spika Comoro

Spika wa Bunge la Comoro,Moustadroine Abdou amesifu ushirikiano mzuri wa Tanzania na Comoro.Spika Moustadrione ameyasema hayo katika hafla ya chakula cha jioni kuadhimisha miaka 61 ya Muungano iliyoandaliwa na Ubalozi wa Tanzania nchini humo. Spika Moustadrione amezungumzia pia uhusiano mzuri…

Gesi ya Helium yagundulika na kina cha Km 1.14 chini ya Ardhi

Utafiti wafanyika katika visima vinne *Utafiti umegundua gesi ya Helium yenye ubora wa mkusanyiko wa asilimia 7.9 na 5.5 *Zaidi ya ajira 100 zatolewa kwa jamii Momba, Songwe. Na Mwandishi Wetu, Songwe. IMEELEZWA kwamba utafiti wa gesi ya helium uliofanywa…

Viongozi wa ulimwengu, maelfu wamuaga Papa Francis

Viongozi wa ulimwengu, makasisi na umati wa watu mapema hii leo walikusanyika kwenye Uwanja wa Mtakatifu Petro mjini Vatican kwa ajili ya mazishi ya Kiongozi wa Kanisa Katoli ulimwenguni Papa Francis. Kadinali wa Italia Giovanni Battista Re aliongoza Ibada ya…

Papa Francis azikwa

Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani Papa Francis amezikwa hii jana mjini Roma, katika mazishi yaliyohudhuriwa na maelfu ya watu wakiwemo viongozi wa dini na marais kutoka kote uliwenguni. Papa Francis amezikwa kwenye Kanisa alilolichagua la Mtakatifu Maria Maggiore mjini Roma,…