JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Trump anaitaka Urusi kusitisha vita kwa siku 30 na Ukraine

Rais wa Marekani Donald Trump ameishinikiza Urusi kukubali mpango wa usitishaji mapigano bila masharti kwa siku 30 na Ukraine. Amesema ukiukaji wowote wa mpango huo utaadhibiwa na vikwazo. Trump ameanzisha upya wito huo baada ya kuzungumza na Rais wa Ukraine…

Serikali yasikitishwa na azimio la Bunge la Ulaya kuhusu kesi ya Tundu Lissu

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Serikali imeeleza kusikitishwa kwake na azimio la Bunge la Ulaya la baadhi ya watendaji wa kimataifa kutoa maamuzi kwa kuzingatia taarifa zisizo kamili. Imesema imezingatia azimio lililopitishwa na Bunge la Ulaya tarehe 8…

Viongozi wa kisiasa na kidini duniani wampongeza Papa mpya Leo XIV

Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron anauita “wakati wa kihistoria” kwa Kanisa Katoliki, na anapanua “ujumbe wa udugu”. “Naomba papa huyu mpya awe wa amani na matumaini,” anasema. Rais wa Poland Andrzej Duda ametoa “pongezi zake za dhati”, akiandika kwenye mitandao…

Mapato yasiyo ya kodi yafikia asilimia 67, OMH yadhamiria kufikia lengo la mwaka

Serikali, kupitia Ofisi ya Msajili wa Hazina (OMH), imeendelea kuonesha mafanikio makubwa katika ukusanyaji wa mapato yasiyo ya kodi, baada ya kukusanya Sh749 bilioni hadi kufikia Mei 7, 2025 sawa na asilimia 67 ya lengo la mwaka wa fedha 2024/25…

Vikundi 49 vya wanawake wajasiriamali Mbulu Mji kupata mikopo ya milioni 168

Na Mwandishi wetu, Mbulu Vikundi 49 vya wanawake wajasiriamali waliopo kwenye Halmashauri ya Mji wa Mbulu Mkoani Manyara, wanatarajia kupatiwa mikopo ya Sh168 milioni. Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Mbulu, Rehema Bwasi ameyasema hayo wakati akizungumza kwenye kikao cha…