JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Mchezaji Fadhil Nkya atwaa ubingwa Lina PG Tour kwa mara ya sita mfululizo

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam MCHEZAJI wa kulipwa kutoka Gymkhana Dar es Salaam, Fadhil Nkya ameibuka mshindi kwa mara ya sita mfululizo katika mashindano ya gofu ya Lina PG Tour yaliyomalizika jana na kujinyakulia kitita cha Shilingi milioni…

Tanzania mwenyeji ufunguzi wa ‘African Nations Championship’ Chan

-Mtanange wa ufunguzi kupigwa uwanja wa Benjamini Mkapa kuanzia Aug 2, 2025 Jijini Dar es Salaam. Ikiwa ni maandalizi kuelekea michuano ya “African Nations Championship” CHAN Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo Julai 21,2025 amekutana…

CRDB yazindua Msimu wa Nne wa Semina ya ‘Instaprenyua’ kwa wajasiriamali wa biashara mtandaoni

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam BENKI ya CRDB imetangaza rasmi kuanza kwa msimu wa nne wa semina ya ‘Instaprenyua’ jukwaa maalum linalolenga kuwajengea uwezo wajasiriamali wanaoendesha biashara kupitia mitandao ya kijamii. Semina hiyo inatarajiwa kufanyika Jumamosi Julai 26,…

Zaidi ya Trillion 1.44 zawanufaisha wananchi Geita

Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma Mkoa wa Geita umepokea kiasi cha Shilingi trilioni 1.44 kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo ambazo zimetumika kwenye sekta mbalimbali kama afya, elimu, miundombinu, kilimo, maji, nishati, utalii, uwezeshaji wananchi kiuchumi pamoja na miradi mikubwa…

Maendeleo ya viwanda Simiyu, mnyororo wa thamani waanza kulipa

Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia,Dodoma Serikali ya Awamu ya Sita chini ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imeendeleza kwa kasi jitihada za kuijenga Tanzania ya viwanda, huku Mkoa wa Simiyu ukiibuka kama miongoni mwa mikoa inayoongoza kwa kuwekeza kwenye…